Psalms 143:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Asubuhi unioneshe fadhili zako, maana nimekuwekea tumaini langu. Unifundishe mwenendo wa kufuata, maana nakuelekezea ombi la moyo wangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Asubuhi uniletee neno la upendo wako usiokoma, kwa kuwa nimeweka tumaini langu kwako. Nioneshe njia nitakayoiendea, kwa kuwa kwako nainua nafsi yangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Unifanye kusikia fadhili zako asubuhi, Kwa maana nimekutumaini Wewe. Unijulishe njia nitakayoiendea, Kwa maana nakuinulia nafsi yangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Asubuhi unioneshe fadhili zako, maana nimekuwekea tumaini langu. Unifundishe mwenendo wa kufuata, maana nakuelekezea ombi la moyo wangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Asubuhi uniletee neno la upendo wako usiokoma, kwa kuwa nimeweka tumaini langu kwako. Nionyeshe njia nitakayoiendea, kwa kuwa kwako nainua nafsi yangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Asubuhi uniletee neno la upendo wako usiokoma, kwa kuwa nimeweka tumaini langu kwako. Nionyeshe njia nitakayoiendea, kwa kuwa kwako nainua nafsi yangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Uniwezeshe kusikia fadhili zako asubuhi, Kwa maana nimekutumaini Wewe. Unifundishe njia nitakayoiendea, Kwa maana ninakuinulia nafsi yangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Asubuhi unioneshe fadhili zako, maana nimekuwekea tumaini langu. Unifundishe mwenendo wa kufuata, maana nakuelekezea ombi la moyo wangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Unipe kusikia asubuhi mambo ya upole wako! Kwani nimekuegemea. Nijulishe njia, nitakayoishika! Kwani nimekuinulia roho yangu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Unifanye kusikia fadhili zako asubuhi, Kwa maana nimekutumaini Wewe. Unijulishe njia nitakayoiendea, Kwa maana nakuinulia nafsi yangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kila asubui unionyeshe wema wako, maana ninakutumainia. Unifundishe mwenendo wa kufuata, maana ninakutolea moyo wangu.