Psalms 143:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Uniokoe, ee Mwenyezi-Mungu, kutoka maadui zangu, maana kwako nakimbilia usalama.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mwenyezi Mungu, uniokoe na adui zangu, kwa kuwa nimejificha kwako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Bwana, uniponye na adui zangu; Nimekukimbilia Wewe, unifiche.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Uniokoe, ee Mwenyezi-Mungu, kutoka maadui zangu, maana kwako nakimbilia usalama.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee BWANA, uniokoe na adui zangu, kwa kuwa nimejificha kwako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee bwana, uniokoe na adui zangu, kwa kuwa nimejificha kwako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee BWANA, uniponye na adui zangu; Nimekukimbilia Wewe, unifiche.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Uniokoe, ee Mwenyezi-Mungu, kutoka maadui zangu, maana kwako nakimbilia usalama.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Niopoe, Bwana, ukinitoa kwao walio adui zangu! Nimekukimbilia, unifunike!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee BWANA, uniponye na adui zangu; Nimekukimbilia Wewe, unifiche.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Uniokoe, ee Yawe, kutoka waadui zangu, maana ninakimbilia kwako.