Psalms 144:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
(Zaburi ya Daudi) Atukuzwe Mwenyezi-Mungu, mwamba wangu, anayeipa mikono yangu mazoezi ya vita, na kuvifunza vidole vyangu kupigana.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ahimidiwe Mwenyezi Mungu Mwamba wangu, aifundishaye mikono yangu vita, na vidole vyangu kupigana.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na ahimidiwe Bwana, mwamba wangu, Anifundishaye mikono yangu vita, Vidole vyangu kupigana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Atukuzwe Mwenyezi-Mungu, mwamba wangu, anayeipa mikono yangu mazoezi ya vita, na kuvifunza vidole vyangu kupigana.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
(Zaburi Ya Daudi) Sifa ni kwa BWANA Mwamba wangu, aifundishaye mikono yangu vita, vidole vyangu kupigana.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sifa ni kwa bwana Mwamba wangu, aifundishaye mikono yangu vita, na vidole vyangu kupigana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na ahimidiwe BWANA, mwamba wangu, Aifundishaye mikono yangu vita, Na vidole vyangu kupigana.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Atukuzwe Mwenyezi-Mungu, mwamba wangu, anayeipa mikono yangu mazoezi ya vita, na kuvifunza vidole vyangu kupigana.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Na atukuzwe Bwana aliye mwamba wangu! Ndiye aliyeifundisha mikono yangu kupiga vita, ijue hata kupiga konde kwenye mapigano.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na ahimidiwe BWANA, mwamba wangu, Anifundishaye mikono yangu vita, Vidole vyangu kupigana.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Zaburi ya Daudi. Atukuzwe Yawe, yeye ni: nguvu yangu, yule anayeizoeza mikono yangu kupigana vita na kuvifundisha vidole vyangu kugombana,