Psalms 144:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
wewe uwapaye wafalme ushindi, umwokoaye Daudi mtumishi wako!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kwa Yule awapaye wafalme ushindi, ambaye humwokoa Daudi, mtumishi wake, kutokana na upanga hatari.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Awapaye wafalme wokovu, Amwokoa Daudi, mtumishi wake, na upanga wa uovu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
wewe uwapaye wafalme ushindi, umwokoaye Daudi mtumishi wako!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kwa Mmoja awapaye wafalme ushindi, ambaye humwokoa Daudi, mtumishi wake na upanga hatari.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kwa Yule awapaye wafalme ushindi, ambaye humwokoa Daudi, mtumishi wake kutokana na upanga hatari.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Awapaye wafalme wokovu, Amwokoa Daudi, mtumishi wake, na upanga wa uovu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
wewe uwapaye wafalme ushindi, umwokoaye Daudi mtumishi wako!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yeye ndiye awapatiaye wokovu nao wafalme, naye mtumishi wake Dawidi humwopoa, upanga mbaya usimpige.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Awapaye wafalme wokovu, Amwokoa Daudi, mtumishi wake, na upanga wa uovu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
wewe unayewapa wafalme ushindi, unayemwokoa mutumishi wako Daudi!