Psalms 144:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Uniokoe na upanga wa adui katili, uniondoe makuchani mwa wageni, ambao husema maneno ya uongo, hunyosha mkono kushuhudia uongo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nikomboe na uniokoe kutoka mikononi mwa wageni ambao vinywa vyao vimejaa uongo, na mikono yao ya kuume ni midanganyifu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Uniponye, unitoe, Katika mkono wa wageni. Vinywa vyao vyasema visivyofaa, Na mkono wao wa kuume ni mkono wa uongo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Uniokoe na upanga wa adui katili, uniondoe makuchani mwa wageni, ambao husema maneno ya uongo, hunyosha mkono kushuhudia uongo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nikomboe na uniokoe kutoka mikononi mwa wageni ambao midomo yao imejaa uongo, na mikono yao ya kuume ni midanganyifu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nikomboe na uniokoe kutoka mikononi mwa wageni ambao vinywa vyao vimejaa uongo, na mikono yao ya kuume ni midanganyifu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Uniponye, unitoe, Katika mkono wa wageni. Vinywa vyao vyasema visivyofaa, Na mkono wao wa kuume ni mkono wa uongo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Uniokoe na upanga wa adui katili, uniondoe makuchani mwa wageni, ambao husema maneno ya uongo, hunyosha mkono kushuhudia uongo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Niopoe na kuniponya mikononi mwao walio wageni tu! Maana vinywa vyao husema maneno ya bure, mikono yao ya kuume ni yenye uwongo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Uniponye, unitoe, Katika mkono wa wageni. Vinywa vyao vyasema visivyofaa, Na mkono wao wa kuume ni mkono wa uongo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Uniokoe kutoka upanga wa waadui wakali, uniokoe kutoka makucha ya wageni, ambao wanasema maneno ya uongo, wanaonyoosha mukono kwa kushuhudia uongo.