Psalms 144:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ghala zetu zijae mazao ya kila aina. Kondoo wetu mashambani wazae maelfu kwa maelfu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ghala zetu zitajazwa aina zote za mahitaji. Kondoo wetu watazaa kwa maelfu, kwa makumi ya maelfu katika mashamba yetu;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ghala zetu na zijae Zenye akiba za jinsi zote. Kondoo zetu na wazae Elfu na makumi elfu mashambani mwetu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ghala zetu zijae mazao ya kila aina. Kondoo wetu mashambani wazae maelfu kwa maelfu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ghala zetu zitajazwa aina zote za mahitaji. Kondoo zetu watazaa kwa maelfu, kwa makumi ya maelfu katika mashamba yetu;
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ghala zetu zitajazwa aina zote za mahitaji. Kondoo zetu watazaa kwa maelfu, kwa makumi ya maelfu katika mashamba yetu;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ghala zetu na zijae Zenye akiba za jinsi zote. Kondoo zetu na wazae Elfu na makumi elfu mashambani mwetu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ghala zetu zijae mazao ya kila aina. Kondoo wetu mashambani wazae maelfu kwa maelfu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Vichanja vyetu na viwe vimejaa, vipate kutoa vilaji viwavyo vyote! Kondoo wetu na wawe wengi sana wakizaa maelfu na maelfu mashambani kwetu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ghala zetu na zijae Zenye akiba za jinsi zote. Kondoo zetu na wazae Elfu na makumi elfu mashambani mwetu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Gala zetu zijae mavuno ya kila aina. Kondoo wetu katika mbuga wazae maelfu na maelfu.