Psalms 144:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mifugo yetu iwe na afya na nguvu; isitupe mimba wala kuzaa kabla ya wakati. Kusiwepo tena udhalimu mitaani mwetu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
maksai wetu watakokota mizigo mizito. Hakutakuwa na kubomoka kuta, hakuna kuchukuliwa mateka, wala kilio cha taabu katika barabara zetu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ng'ombe zetu na wachukue mizigo, Kusiwe na kushambuliwa. Wala kusiwe na kuhamishwa, Wala malalamiko katika njia zetu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mifugo yetu iwe na afya na nguvu; isitupe mimba wala kuzaa kabla ya wakati. Kusiwepo tena udhalimu mitaani mwetu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
maksai wetu watakokota mizigo mizito. Hakutakuwa na kubomoka kuta, hakuna kuchukuliwa mateka, wala kilio cha taabu katika barabara zetu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
maksai wetu watakokota mizigo mizito. Hakutakuwa na kubomoka kuta, hakuna kuchukuliwa mateka, wala kilio cha taabu katika barabara zetu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ng'ombe wetu na wabebe mizigo mizito, Kusiwe na kushambuliwa. Wala kusiwe na kuhamishwa, Wala malalamiko katika njia zetu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mifugo yetu iwe na afya na nguvu; isitupe mimba wala kuzaa kabla ya wakati. Kusiwepo tena udhalimu mitaani mwetu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ng'ombe wetu na wawe wenye mimba, wasipatwe na kidei wala na mengine yawamalizayo, pasiwe na vilio nyuani petu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ng’ombe zetu na wachukue mizigo, Kusiwe na kushambuliwa. Wala kusiwe na kuhamishwa, Wala malalamiko katika njia zetu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ngombe wetu wakuwe na afya na nguvu, kusitokwe mimba wala kukosa kuibeba. Kusikuwe tena kilio katika mitaa yetu.