Psalms 144:15 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Heri taifa ambalo limejaliwa hayo! Heri taifa ambalo Mungu wao ni Mwenyezi-Mungu!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Heri watu ambao hili ni kweli; heri wale ambao Mwenyezi Mungu ni Mungu wao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Heri watu wenye hali hiyo, Heri watu wenye Bwana kuwa Mungu wao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Heri taifa ambalo limejaliwa hayo! Heri taifa ambalo Mungu wao ni Mwenyezi-Mungu!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Heri watu ambao hili ni kweli; heri wale ambao BWANA ni Mungu wao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Heri watu ambao hili ni kweli; heri wale ambao bwana ni Mungu wao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Heri watu wenye hali hiyo, Heri watu wenye BWANA kuwa Mungu wao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Heri taifa ambalo limejaliwa hayo! Heri taifa ambalo Mungu wao ni Mwenyezi-Mungu!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wenye shangwe ni ukoo wa watu wayapatayo yayo hayo. Wenye shangwe ni ukoo wa watu, Bwana akiwa Mungu wao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Heri watu wenye hali hiyo, Heri watu wenye BWANA kuwa Mungu wao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Heri taifa ambalo limejaliwa hayo! Heri taifa ambalo Yawe ndiye Mungu wao!