Psalms 144:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ee Mwenyezi-Mungu, mtu ni nini hata umjali? Mwanadamu ni nini hata umfikirie?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mwenyezi Mungu, mwanadamu ni nini hata umjali, Binadamu ni nini hata umfikirie?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Bwana, mtu ni kitu gani hata umjue? Na binadamu hata umwangalie?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ee Mwenyezi-Mungu, mtu ni nini hata umjali? Mwanadamu ni nini hata umfikirie?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee BWANA, mwanadamu ni nini hata umjali, Binadamu ni nini hata umfikirie?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee bwana, mwanadamu ni nini hata umjali, Binadamu ni nini hata umfikirie?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee BWANA, mtu ni kitu gani hata umjali? Na binadamu hata umwangalie?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ee Mwenyezi-Mungu, mtu ni nini hata umjali? Mwanadamu ni nini hata umfikirie?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana, mtu ndio nini, ukimjua? Mwana wa mtu naye, usipomsahau?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee BWANA, mtu ni kitu gani hata umjue? Na binadamu hata umwangalie?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ee Yawe, mutu ni nini hata umujali? Mwanadamu ni nini hata ufikiri juu yake?