Psalms 144:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Binadamu ni kama pumzi tu; siku zake ni kama kivuli kipitacho.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwanadamu ni kama pumzi, siku zake ni kama kivuli kinachopita.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Binadamu amefanana na ubatili, Siku zake ni kama kivuli kipitacho.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Binadamu ni kama pumzi tu; siku zake ni kama kivuli kipitacho.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mwanadamu ni kama pumzi, siku zake ni kama kivuli kinachopita.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mwanadamu ni kama pumzi, siku zake ni kama kivuli kinachopita.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Binadamu ni kama ubatili, Siku zake ni kama kivuli kipitacho.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Binadamu ni kama pumzi tu; siku zake ni kama kivuli kipitacho.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mtu hufanana kuwa kama mvuke, siku zake hupita kama kivuli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Binadamu amefanana na ubatili, Siku zake ni kama kivuli kipitacho.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mwanadamu ni kama pumzi tu; siku zake zinapita kama kivuli.