Psalms 144:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Unyoshe mkono wako kutoka juu, uniokoe na kuniondoa katika maji haya mengi; uniondoe makuchani mwa wageni,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nyoosha mkono wako kutoka juu, nikomboe na kuniokoa kutoka maji makuu, kutoka mikononi mwa wageni
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Uinyoshe mikono yako toka juu, uniponye, Unitoe katika maji mengi, katika mkono wa wageni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Unyoshe mkono wako kutoka juu, uniokoe na kuniondoa katika maji haya mengi; uniondoe makuchani mwa wageni,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nyosha mkono wako kutoka juu, nikomboe na kuniokoa kutoka katika maji makuu, kutoka katika mikono ya wageni
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nyoosha mkono wako kutoka juu, nikomboe na kuniokoa kutoka maji makuu, kutoka mikononi mwa wageni
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Uinyoshe mikono yako toka juu, uniponye, Unitoe katika maji mengi, na mkono wa wageni,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Unyoshe mkono wako kutoka juu, uniokoe na kuniondoa katika maji haya mengi; uniondoe makuchani mwa wageni,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Utume mkono wako toka juu, uniopoe! Kwenye maji mengi uniponye! Nitoe mikononi mwao walio wageni tu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Uinyoshe mikono yako toka juu, uniponye, Unitoe katika maji mengi, katika mkono wa wageni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Unyooshe mukono wako kutoka juu, uniopoe katika maji haya mengi, uniokoe kutoka makucha ya wageni