Psalms 144:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
ambao husema maneno ya uongo, hunyosha mkono kushuhudia uongo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
ambao vinywa vyao vimejaa uongo, na mikono yao ya kuume ni midanganyifu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Vinywa vyao vyasema visivyofaa, Na mkono wao wa kuume ni mkono wa uongo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
ambao husema maneno ya uongo, hunyosha mkono kushuhudia uongo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ambao vinywa vyao vimejaa uongo, mikono yao ya kuume ni midanganyifu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
ambao vinywa vyao vimejaa uongo, na mikono yao ya kuume ni midanganyifu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Vinywa vyao vinasema visivyofaa, Na ambao mikono yao ya kuume ni ya uongo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
ambao husema maneno ya uongo, hunyosha mkono kushuhudia uongo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Maana vinywa vyao husema maneno ya bure, mikono yao ya kuume ni yenye uwongo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Vinywa vyao vyasema visivyofaa, Na mkono wao wa kuume ni mkono wa uongo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
ambao wanasema maneno ya uongo na kunyoosha mukono kwa kushuhudia uongo.