Psalms 144:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nitakuimbia wimbo mpya, ee Mungu; nitakupigia kinubi cha nyuzi kumi,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mungu, nitakuimbia wimbo mpya, kwa zeze yenye nyuzi kumi nitakuimbia,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Mungu, nitakuimbia wimbo mpya, Kwa kinanda chenye nyuzi kumi nitakuimbia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nitakuimbia wimbo mpya, ee Mungu; nitakupigia kinubi cha nyuzi kumi,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee Mungu, nitakuimbia wimbo mpya, kwa zeze yenye nyuzi kumi nitakuimbia,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee Mungu, nitakuimbia wimbo mpya, kwa zeze yenye nyuzi kumi nitakuimbia,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee Mungu, nitakuimbia wimbo mpya, Kwa kinanda chenye nyuzi kumi nitakuimbia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nitakuimbia wimbo mpya, ee Mungu; nitakupigia kinubi cha nyuzi kumi,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mungu, nitakuimbia wimbo mpya pamoja na kukupigia pango lenye nyuzi kumi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee Mungu, nitakuimbia wimbo mpya, Kwa kinanda chenye nyuzi kumi nitakuimbia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ee Mungu, nitakuimbia wimbo mupya; nitakupigia kinubi cha nyuzi kumi,