Psalms 145:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Viumbe vyako vyote vitakushukuru, ee Mwenyezi-Mungu, nao waaminifu wako watakutukuza.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mwenyezi Mungu, vyote ulivyovifanya vitakusifu, watakatifu wako watakutukuza.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Bwana, kazi zako zote zitakushukuru, Na wacha Mungu wako watakuhimidi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Viumbe vyako vyote vitakushukuru, ee Mwenyezi-Mungu, nao waaminifu wako watakutukuza.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee BWANA, vyote ulivyovifanya vitakusifu, watakatifu wako watakutukuza.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee bwana, vyote ulivyovifanya vitakusifu, watakatifu wako watakutukuza.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee BWANA, kazi zako zote zitakushukuru, Na wacha Mungu wako watakuhimidi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Viumbe vyako vyote vitakushukuru, ee Mwenyezi-Mungu, nao waaminifu wako watakutukuza.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana, kazi zako zote na zikushukuru, nao wakuchao na wakutukuze!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee BWANA, kazi zako zote zitakushukuru, Na wacha Mungu wako watakuhimidi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Viumbe vyako vyote vitakushukuru, ee Yawe, nao waaminifu wako watakutukuza.