Psalms 145:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watasema juu ya utukufu wa ufalme wako, na kutangaza juu ya nguvu yako kuu,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Watasimulia utukufu wa ufalme wako na kusema kuhusu ukuu wako,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wataunena utukufu wa ufalme wako, Na kuuhadithia uweza wako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watasema juu ya utukufu wa ufalme wako, na kutangaza juu ya nguvu yako kuu,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Watasimulia utukufu wa ufalme wako na kusema juu ya ukuu wako,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Watasimulia utukufu wa ufalme wako na kusema juu ya ukuu wako,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wataunena utukufu wa ufalme wako, Na kusema uweza wako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watasema juu ya utukufu wa ufalme wako, na kutangaza juu ya nguvu yako kuu,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Utukufu wa ufalme wako na wauongee! Na wasimuliane matendo yako yaliyo makuu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wataunena utukufu wa ufalme wako, Na kuuhadithia uweza wako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watasema juu ya utukufu wa ufalme wako, na kutangaza juu ya nguvu yako kubwa,