Psalms 145:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
ili kila mtu ajue matendo yako makuu, na fahari tukufu ya ufalme wako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
ili watu wote wajue matendo yako makuu na utukufu wa fahari ya ufalme wako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ili kuwajulisha watu matendo yake makuu, Na utukufu wa fahari ya ufalme wake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
ili kila mtu ajue matendo yako makuu, na fahari tukufu ya ufalme wako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ili watu wote wajue matendo yako makuu na utukufu wa fahari ya ufalme wako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
ili watu wote wajue matendo yako makuu na utukufu wa fahari ya ufalme wako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ili kuwajulisha watu matendo yake makuu, Na utukufu wa fahari ya ufalme wake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
ili kila mtu ajue matendo yako makuu, na fahari tukufu ya ufalme wako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hayo matendo yako makuu na wayajulishe wana wa watu, hata utukufu na urembo wa ufalme wako!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ili kuwajulisha watu matendo yake makuu, Na utukufu wa fahari ya ufalme wake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
kusudi kila mutu ajue matendo yako makubwa, na mamlaka ya ufalme wako wenye utukufu.