Psalms 145:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ufalme wako ni ufalme wa milele; mamlaka yako yadumu vizazi vyote. Mwenyezi-Mungu ni mwaminifu katika ahadi zake zote, ni mwema katika matendo yake yote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ufalme wako ni ufalme wa milele, mamlaka yako hudumu vizazi vyote. Mwenyezi Mungu ni mwaminifu kwa ahadi zake zote na mwenye upendo kwa vyote alivyovifanya.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ufalme wako ni ufalme wa zamani zote, Na mamlaka yako ni ya vizazi vyote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ufalme wako ni ufalme wa milele; mamlaka yako yadumu vizazi vyote. Mwenyezi-Mungu ni mwaminifu katika ahadi zake zote, ni mwema katika matendo yake yote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ufalme wako ni ufalme wa milele, mamlaka yako hudumu vizazi vyote. BWANA ni mwaminifu kwa ahadi zake zote na mwenye upendo kwa vyote alivyovifanya.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ufalme wako ni ufalme wa milele, mamlaka yako hudumu vizazi vyote. bwana ni mwaminifu kwa ahadi zake zote na mwenye upendo kwa vyote alivyovifanya.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ufalme wako ni ufalme wa milele, BWANA ni mwaminifu katika maneno yake yote, Na mwenye fadhili katika matendo yake yote Na mamlaka yako ni ya vizazi vyote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ufalme wako ni ufalme wa milele; mamlaka yako yadumu vizazi vyote. Mwenyezi-Mungu ni mwaminifu katika ahadi zake zote, ni mwema katika matendo yake yote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ufalme wako ni ufalme wa siku zote za kale na kale, nao ubwana wako ni wa vizazi vyote kwa vizazi na vizazi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ufalme wako ni ufalme wa zamani zote, Na mamlaka yako ni ya vizazi vyote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ufalme wako ni ufalme wa milele; mamlaka yako yanadumu vizazi vyote. Yawe ni mwaminifu katika ahadi zake zote, ni mwema katika matendo yake yote.