Psalms 145:14 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu huwategemeza wote wanaoanguka; huwainua wote waliokandamizwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu huwategemeza wote waangukao, na huwainua wote waliolemewa na mizigo yao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana huwategemeza wote waangukao, Huwainua wote walioinama chini.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu huwategemeza wote wanaoanguka; huwainua wote waliokandamizwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA huwategemeza wote waangukao na huwainua wote waliolemewa na mizigo yao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana huwategemeza wote waangukao, na huwainua wote waliolemewa na mizigo yao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA huwategemeza wote waangukao, Huwainua wote walioinama chini.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu huwategemeza wote wanaoanguka; huwainua wote waliokandamizwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana huwashikiza wote waangukao, huwainua wote walioinamishwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA huwategemeza wote waangukao, Huwainua wote walioinama chini.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe anawashikilia wote wanaoanguka; anawainua wote waliogandamizwa.