Psalms 145:15 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Viumbe vyote vinakutazama kwa hamu, nawe wavipa chakula chao kwa wakati wake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Macho ya watu wote yanakutazama, nawe huwapa chakula chao wakati wake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Macho ya watu wote yakuelekea Wewe, Nawe huwapa chakula chao wakati wake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Viumbe vyote vinakutazama kwa hamu, nawe wavipa chakula chao kwa wakati wake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Macho yao wote yanakutazama wewe, nawe huwapa chakula chao wakati wake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Macho yao wote yanakutazama wewe, nawe huwapa chakula chao wakati wake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Macho ya watu wote yakuelekea Wewe, Nawe huwapa chakula chao kwa wakati wake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Viumbe vyote vinakutazama kwa hamu, nawe wavipa chakula chao kwa wakati wake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
*Macho yao wote hukutazamia, nawe huwapa vilaji vyao, wanapoona njaa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Macho ya watu wote yakuelekea Wewe, Nawe huwapa chakula chao wakati wake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Viumbe vyote vinakutazamia, nawe unavipatia chakula chao kwa wakati wake.