Psalms 145:16 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Waufumbua mkono wako kwa ukarimu, watosheleza mahitaji ya kila kiumbe hai.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Waufumbua mkono wako, watosheleza haja ya kila kitu kilicho hai.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Waufumbua mkono wako, Wakishibisha kila kilicho hai matakwa yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Waufumbua mkono wako kwa ukarimu, watosheleza mahitaji ya kila kiumbe hai.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Waufumbua mkono wako, watosheleza haja ya kila kitu kilicho hai.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Waufumbua mkono wako, watosheleza haja ya kila kitu kilicho hai.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Waufumbua mkono wako, Wakishibisha kila kilicho hai matakwa yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Waufumbua mkono wako kwa ukarimu, watosheleza mahitaji ya kila kiumbe hai.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Unapokifumbua kiganja chako, huwashibisha wote waliopo, wapendezwe.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Waufumbua mkono wako, Wakishibisha kila kilicho hai matakwa yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Unafumbua mukono wako kwa moyo safi, unatimiza mahitaji ya kila kiumbe kinachoishi.