Psalms 145:17 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu ni mwadilifu katika njia zake zote; ni mwema katika matendo yake yote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu ni mwenye haki katika njia zake zote, na mwenye upendo kwa vyote alivyovifanya.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana ni mwenye haki katika njia zake zote, Na mwenye fadhili juu ya kazi zake zote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu ni mwadilifu katika njia zake zote; ni mwema katika matendo yake yote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA ni mwenye haki katika njia zake zote na mwenye upendo kwa vyote alivyovifanya.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana ni mwenye haki katika njia zake zote, na mwenye upendo kwa vyote alivyovifanya.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA ni mwenye haki katika njia zake zote, Na mwenye huruma katika matendo yake yote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu ni mwadilifu katika njia zake zote; ni mwema katika matendo yake yote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Katika njia zake zote Bwana ni mwongofu, katika kazi zake zote ni mwenye upole.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA ni mwenye haki katika njia zake zote, Na mwenye fadhili juu ya kazi zake zote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe ni mwenye haki katika njia zake zote; ni mwema katika matendo yake yote.