Psalms 145:18 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu yuko karibu na wote wanaomwomba, wote wanaomwomba kwa moyo mnyofu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu yu karibu na wote wamwitao, karibu na wote wamwitao kwa uaminifu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana yu karibu na wote wamwitao, Wote wamwitao kwa uaminifu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu yuko karibu na wote wanaomwomba, wote wanaomwomba kwa moyo mnyofu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA yu karibu na wote wamwitao, karibu na wote wamwitao kwa uaminifu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana yu karibu na wote wamwitao, karibu na wote wamwitao kwa uaminifu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA yuko karibu na wote wamwitao, Wote wamwitao kwa uaminifu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu yuko karibu na wote wanaomwomba, wote wanaomwomba kwa moyo mnyofu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana yuko karibu kwao wote wamwitao, kwao wote watakaomwita kwa ukweli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA yu karibu na wote wamwitao, Wote wamwitao kwa uaminifu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe yuko karibu na wote wanaomwomba, wote wale wanaomwomba kwa uaminifu.