Psalms 145:19 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Huwapatia mahitaji yao wote wanaomcha; husikia kilio chao na kuwaokoa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Huwatimizia wamchao matakwa yao, husikia kilio chao na kuwaokoa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Atawafanyia wamchao matakwa yao, Naye atakisikia kilio chao na kuwaokoa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Huwapatia mahitaji yao wote wanaomcha; husikia kilio chao na kuwaokoa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Huwatimizia wamchao matakwa yao, husikia kilio chao na kuwaokoa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Huwatimizia wamchao matakwa yao, husikia kilio chao na kuwaokoa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hutimiza matakwa ya wote wamchao, Na pia husikia kilio chao, na huwaokoa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Huwapatia mahitaji yao wote wanaomcha; husikia kilio chao na kuwaokoa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Huyafanya yawapendezayo wamwogopao, huyasikia malalamiko yao, wakimlilia, huwaokoa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Atawafanyia wamchao matakwa yao, Naye atakisikia kilio chao na kuwaokoa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Anajibia mahitaji yao wote wanaomwabudu; anasikia kilio chao na kuwaokoa.