Psalms 145:20 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu huwalinda wote wanaompenda; lakini atawaangamiza waovu wote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu huwalinda wote wanaompenda, bali waovu wote atawaangamiza.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana huwahifadhi wote wampendao, Na wote wasio haki atawaangamiza.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu huwalinda wote wanaompenda; lakini atawaangamiza waovu wote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA huwalinda wote wampendao, bali waovu wote atawaangamiza.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana huwalinda wote wampendao, bali waovu wote atawaangamiza.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA huwahifadhi wote wampendao, Na wote wasio haki atawaangamiza.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu huwalinda wote wanaompenda; lakini atawaangamiza waovu wote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana huwalinda wote wampendao, lakini wote wasiomcha atawaishiliza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA huwahifadhi wote wampendao, Na wote wasio haki atawaangamiza.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe anawalinda wote wanaomupenda; lakini anawaangamiza waovu wote.