Psalms 145:21 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nitatangaza sifa za Mwenyezi-Mungu; viumbe vyote vilisifu jina lake takatifu, milele na milele.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kinywa changu kitazinena sifa za Mwenyezi Mungu. Kila kiumbe na kilisifu jina lake takatifu milele na milele.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kinywa changu kitazinena sifa za Bwana; Wote wenye mwili na walihimidi jina lake takatifu milele na milele.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nitatangaza sifa za Mwenyezi-Mungu; viumbe vyote vilisifu jina lake takatifu, milele na milele.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kinywa changu kitazinena sifa za BWANA. Kila kiumbe na kilisifu jina lake takatifu milele na milele.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kinywa changu kitazinena sifa za bwana. Kila kiumbe na kilisifu jina lake takatifu milele na milele.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kinywa changu kitazinena sifa za BWANA; Wote wenye mwili na walihimidi jina lake takatifu milele na milele.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nitatangaza sifa za Mwenyezi-Mungu; viumbe vyote vilisifu jina lake takatifu, milele na milele.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kinywa changu sharti kiseme sifa za Bwana! Wote wenye miili ya kimtu sharti walitukuze Jina lake takatifu pasipo kukoma kale na kale!*
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kinywa changu kitazinena sifa za BWANA; Wote wenye mwili na walihimidi jina lake takatifu milele na milele.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nitatangaza sifa za Yawe; viumbe vyote vilisifu jina lake takatifu, kwa milele na milele.