Psalms 145:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu ni mkuu, astahili sifa nyingi; ukuu wake hauwezi kuchunguzika.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu ni mkuu, anayestahili kusifiwa sana, ukuu wake haupimiki.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana ndiye mkuu mwenye kusifiwa sana, Wala ukuu wake hautambulikani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu ni mkuu, astahili sifa nyingi; ukuu wake hauwezi kuchunguzika.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA ni mkuu, anayestahili kusifiwa sana, ukuu wake haupimiki.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana ni mkuu, anayestahili kusifiwa sana, ukuu wake haupimiki.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA ndiye mkuu mwenye kusifiwa sana, Wala ukuu wake hauchunguziki.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu ni mkuu, astahili sifa nyingi; ukuu wake hauwezi kuchunguzika.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana ni mkuu, hushangiliwa sana, ukuu wake hauchunguziki.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA ndiye mkuu mwenye kusifiwa sana, Wala ukuu wake hautambulikani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe ni mukubwa, anastahili sifa nyingi; ukubwa wake hauwezi kuchunguzika.