Psalms 145:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kizazi hata kizazi, sifa za matendo yako zitasimuliwa, watu watatangaza matendo yako makuu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kizazi kimoja kitasifia kazi zako kwa kizazi kingine, watasimulia matendo yako makuu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kizazi kwa kizazi kitayasifu matendo yako, Kitayatangaza matendo yako makuu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kizazi hata kizazi, sifa za matendo yako zitasimuliwa, watu watatangaza matendo yako makuu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kizazi kimoja kitasifia kazi zako kwa kizazi kingine, watasimulia matendo yako makuu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kizazi kimoja kitasifia kazi zako kwa kizazi kingine, watasimulia matendo yako makuu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kizazi kwa kizazi kitayasifu matendo yako, Kitayatangaza matendo yako makuu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kizazi hata kizazi, sifa za matendo yako zitasimuliwa, watu watatangaza matendo yako makuu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kizazi kinasifia kizazi kingine kazi zako na kuyatangaza matendo yako yaliyo makuu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kizazi kwa kizazi kitayasifu matendo yako, Kitayatangaza matendo yako makuu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sifa za matendo yako zitaelezwa kwa kizazi hata kizazi, watu watatangaza matendo yako makubwa.