Psalms 145:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nitanena juu ya utukufu na fahari yako, nitayatafakari matendo yako ya ajabu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Watasema juu ya utukufu wa fahari ya ukuu wako, nami nitatafakari juu ya kazi zako za ajabu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nitaifikiri fahari ya utukufu wa adhama yako, Na matendo yako yote ya ajabu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nitanena juu ya utukufu na fahari yako, nitayatafakari matendo yako ya ajabu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Watasema juu ya utukufu wa fahari ya ukuu wako, nami nitatafakari juu ya kazi zako za ajabu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Watasema juu ya utukufu wa fahari ya ukuu wako, nami nitatafakari juu ya kazi zako za ajabu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nitaifikiri fahari ya utukufu wa adhama yako, Na matendo yako yote ya ajabu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nitanena juu ya utukufu na fahari yako, nitayatafakari matendo yako ya ajabu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Urembo na utukufu ndio mapambo yako, mambo yako ya kustaajabisha na niyawaze moyoni!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nitaifikiri fahari ya utukufu wa adhama yako, Na matendo yako yote ya ajabu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nitasema juu ya utukufu na mamlaka yako, nitafikiri juu ya matendo yako ya ajabu.