Psalms 145:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu watatangaza ukuu wa matendo yako ya ajabu, nami nitatangaza ukuu wako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Watasimulia uwezo wa kazi zako za kutisha, nami nitatangaza matendo yako makuu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Watu watayataja matendo yako ya kutisha, Nami nitausimulia ukuu wako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu watatangaza ukuu wa matendo yako ya ajabu, nami nitatangaza ukuu wako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Watasimulia uwezo wa kazi zako za kutisha, nami nitatangaza matendo yako makuu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Watasimulia uwezo wa kazi zako za kutisha, nami nitatangaza matendo yako makuu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Watu watayataja matendo yako ya kutisha, Nami nitausimulia ukuu wako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu watatangaza ukuu wa matendo yako ya ajabu, nami nitatangaza ukuu wako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Watu na wayaongee ya nguvu zako yaogopeshayo, na niyasimulie matendo yako yaliyo makuu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Watu watayataja matendo yako ya kutisha, Nami nitausimulia ukuu wako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu watatangaza ukubwa wa matendo yako ya ajabu, nami nitatangaza ukubwa wako.