Psalms 145:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watatangaza sifa za wema wako mwingi, na kuimba juu ya uadilifu wako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wataadhimisha wema wako mwingi, na wataimba kwa shangwe kuhusu haki yako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Watalihubiri kumbukumbu la wema wako mkuu. Wataiimba haki yako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watatangaza sifa za wema wako mwingi, na kuimba juu ya uadilifu wako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wataadhimisha wema wako mwingi na wataimba kwa shangwe juu ya haki yako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wataadhimisha wema wako mwingi, na wataimba kwa shangwe juu ya haki yako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Watasimulia juu ya ukuu wa wema wako mwingi. Na wataiimba haki yako kwa sauti.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watatangaza sifa za wema wako mwingi, na kuimba juu ya uadilifu wako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Na waukumbuke wema wako mwingi, wautangaze, nao wongofu wako waupigie vigelegele!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Watalihubiri kumbukumbu la wema wako mkuu. Wataiimba haki yako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watatangaza sifa za uzuri wako mwingi, na kuimba juu ya haki yako.