Psalms 145:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu ni mwenye huruma na rehema; hakasiriki ovyo, amejaa fadhili.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu ni mwenye neema na mwingi wa huruma, si mwepesi wa hasira, bali ni mwingi wa upendo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana ana fadhili, ni mwingi wa huruma, Si mwepesi wa hasira, ni mwingi wa rehema,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu ni mwenye huruma na rehema; hakasiriki ovyo, amejaa fadhili.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA ni mwenye neema na mwingi wa huruma, si mwepesi wa hasira, ni mwingi wa upendo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana ni mwenye neema na mwingi wa huruma, si mwepesi wa hasira, bali ni mwingi wa upendo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA ni mwenye fadhili na huruma, Si mwepesi wa hasira, ni mwingi wa rehema,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu ni mwenye huruma na rehema; hakasiriki ovyo, amejaa fadhili.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana ni mwenye utu na mwenye huruma, tena ni mwenye uvumilivu na mwenye upole mkubwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA ana fadhili, ni mwingi wa huruma, Si mwepesi wa hasira, ni mwingi wa rehema,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe ni mwenye huruma na rehema; yeye hakasiriki upesi, amejaa wema.