Psalms 145:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu ni mwema kwa wote, ni mwenye huruma kwa viumbe vyake vyote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu ni mwema kwa wote, ana huruma kwa vyote alivyovifanya.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana ni mwema kwa watu wote, Na rehema zake zi juu ya kazi zake zote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu ni mwema kwa wote, ni mwenye huruma kwa viumbe vyake vyote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA ni mwema kwa wote, ana huruma kwa vyote alivyovifanya.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana ni mwema kwa wote, ana huruma kwa vyote alivyovifanya.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA ni mwema kwa watu wote, Na rehema zake ziko juu ya vyote alivyoumba.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu ni mwema kwa wote, ni mwenye huruma kwa viumbe vyake vyote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana huwaendea wote kwa kuwa mwema, yote aliyoyafanya huyaonea uchungu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA ni mwema kwa watu wote, Na rehema zake zi juu ya kazi zake zote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe ni muzuri kwa wote, ni mwenye huruma kwa viumbe vyake vyote.