Psalms 146:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu atawala milele, Mungu wako, ee Siyoni, ni mfalme vizazi vyote! Msifuni Mwenyezi-Mungu!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu atamiliki milele, Mungu wako, ee Sayuni, kwa vizazi vyote. Msifuni Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana atamiliki milele, Mungu wako, Ee Sayuni, kizazi hata kizazi. Haleluya.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu atawala milele, Mungu wako, ee Siyoni, ni mfalme vizazi vyote! Msifuni Mwenyezi-Mungu!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA atamiliki milele, Mungu wako, Ee Sayuni, kwa vizazi vyote. Msifuni BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana atamiliki milele, Mungu wako, ee Sayuni, kwa vizazi vyote. Msifuni bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA atamiliki milele, Mungu wako, Ee Sayuni, kwa vizazi vyote. Haleluya.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu atawala milele, Mungu wako, ee Siyoni, ni mfalme vizazi vyote! Msifuni Mwenyezi-Mungu!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana anashika ufalme kale na kale, Mungu wako, Sioni, ni wa vizazi na vizazi. Haleluya!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA atamiliki milele, Mungu wako, Ee Sayuni, kizazi hata kizazi. Haleluya.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe anatawala milele. Mungu wako, ee Sayuni, ni mufalme kwa vizazi vyote! Haleluia!