Psalms 146:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nitamsifu Mwenyezi-Mungu maisha yangu yote; nitamwimbia Mungu wangu muda wote niishipo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nitamsifu Mwenyezi Mungu maisha yangu yote; nitamwimbia Mungu wangu sifa wakati wote ningali hai.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nitamsifu Bwana muda ninaoishi, Nitamwimbia Mungu wangu ningali ni hai.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nitamsifu Mwenyezi-Mungu maisha yangu yote; nitamwimbia Mungu wangu muda wote niishipo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nitamsifu BWANA maisha yangu yote; nitamwimbia Mungu wangu sifa wakati wote niishipo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nitamsifu bwana maisha yangu yote; nitamwimbia Mungu wangu sifa wakati wote niishipo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nitamsifu BWANA muda ninaoishi, Nitamwimbia Mungu wangu ningali ni hai.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nitamsifu Mwenyezi-Mungu maisha yangu yote; nitamwimbia Mungu wangu muda wote niishipo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Na nimshangilie Bwana siku zangu za kuwapo! Na nimwimbie Mungu wangu na kupiga zeze nikingali nipo!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nitamsifu BWANA muda ninaoishi, Nitamwimbia Mungu wangu ningali ni hai.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nitamusifu Yawe maisha yangu yote; nitamwimbia Mungu wangu muda wote nitakapoishi.