Psalms 146:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Binadamu akitoa pumzi yake ya mwisho, anarudi mavumbini alimotoka; na hapo mipango yake yote hutoweka.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Roho yao itokapo hurudi mavumbini, siku hiyo hiyo mipango yao yote hukoma.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Pumzi yake hutoka, huurudia udongo wake, Siku hiyo mawazo yake yapotea.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Binadamu akitoa pumzi yake ya mwisho, anarudi mavumbini alimotoka; na hapo mipango yake yote hutoweka.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Roho yao itokapo hurudi mavumbini, siku hiyo hiyo mipango yao yote hukoma.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Roho yao itokapo hurudi mavumbini, siku hiyo hiyo mipango yao yote hukoma.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Pumzi yake inapomtoka, anarudi katika udongo wake, Siku hiyo hiyo mipango yake hutoweka.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Binadamu akitoa pumzi yake ya mwisho, anarudi mavumbini alimotoka; na hapo mipango yake yote hutoweka.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Roho ya mtu ikimtoka, inarudi mchangani; siku ile mizungu yake itakuwa imepotea.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Pumzi yake hutoka, huurudia udongo wake, Siku hiyo mawazo yake yapotea.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mwanadamu akitoa pumzi yake ya mwisho, anarudi katika mavumbi alimotoka, na hapo mipango yake yote inatoweka.