Psalms 146:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Heri mtu anayesaidiwa na Mungu wa Yakobo, mtu aliyeweka tumaini lake kwa Mwenyezi-Mungu, Mungu wake,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Heri yeye ambaye Mungu wa Yakobo ni msaada wake, ambaye tumaini lake ni katika Mwenyezi Mungu, Mungu wake,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Heri ambaye Mungu wa Yakobo ni msaada wake, Na tumaini lake ni kwa Bwana, Mungu wake,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Heri mtu anayesaidiwa na Mungu wa Yakobo, mtu aliyeweka tumaini lake kwa Mwenyezi-Mungu, Mungu wake,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Heri yeye ambaye Mungu wa Yakobo ni msaada wake, ambaye tumaini lake ni katika BWANA, Mungu wake,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Heri yeye ambaye Mungu wa Yakobo ni msaada wake, ambaye tumaini lake ni katika bwana, Mungu wake,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Heri ambaye Mungu wa Yakobo ni msaada wake, Na tumaini lake ni kwa BWANA, Mungu wake,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Heri mtu anayesaidiwa na Mungu wa Yakobo, mtu aliyeweka tumaini lake kwa Mwenyezi-Mungu, Mungu wake,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mwenye shangwe ni mtu wa Mungu wa Yakobo, maana humsaidia, akimngojea Bwana, Mungu wake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Heri ambaye Mungu wa Yakobo ni msaada wake, Na tumaini lake ni kwa BWANA, Mungu wake,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Heri mutu anayesaidiwa na Mungu wa Yakobo, mutu anayemutumainia Yawe, Mungu wake,