Psalms 146:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
aliyeumba mbingu na dunia, bahari na vyote vilivyomo. Yeye hushika ahadi yake milele.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Muumba wa mbingu na nchi, na bahari na vyote vilivyomo: Mwenyezi Mungu anayedumu kuwa mwaminifu milele na milele.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Aliyezifanya mbingu na nchi, Bahari na vitu vyote vilivyomo. Huishika kweli milele,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
aliyeumba mbingu na dunia, bahari na vyote vilivyomo. Yeye hushika ahadi yake milele.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Muumba wa mbingu na dunia, bahari na vyote vilivyomo ndani yake: BWANA anayedumu kuwa mwaminifu milele na milele.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Muumba wa mbingu na nchi, na bahari na vyote vilivyomo ndani yake: bwana anayedumu kuwa mwaminifu milele na milele.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Aliyezifanya mbingu na nchi, Bahari na vitu vyote vilivyomo. Huishika kweli milele,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
aliyeumba mbingu na dunia, bahari na vyote vilivyomo. Yeye hushika ahadi yake milele.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yeye ndiye aliyezifanya mbingu na nchi, hata bahari navyo vyote vilivyomo. Yeye ndiye ashikaye welekevu na kuufuata kale na kale.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Aliyezifanya mbingu na nchi, Bahari na vitu vyote vilivyomo. Huishika kweli milele,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
aliyeumba mbingu na dunia, bahari na vyote vinavyokuwa ndani yao. Yeye anashika ahadi yake milele.