Psalms 146:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yeye huwapatia wanaoonewa haki zao, huwapa wenye njaa chakula. Mwenyezi-Mungu huwapa wafungwa uhuru,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Naye huwapatia haki waliodhulumiwa, na kuwapa wenye njaa chakula. Mwenyezi Mungu huwaweka wafungwa huru,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Huwafanyia hukumu walioonewa, Huwapa wenye njaa chakula; Bwana hufungua waliofungwa;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yeye huwapatia wanaoonewa haki zao, huwapa wenye njaa chakula. Mwenyezi-Mungu huwapa wafungwa uhuru,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Naye huwapatia haki walioonewa na kuwapa wenye njaa chakula. BWANA huwaweka wafungwa huru,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Naye huwapatia haki walioonewa na kuwapa wenye njaa chakula. bwana huwaweka wafungwa huru,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Huwafanyia hukumu walioonewa, Huwapa wenye njaa chakula; BWANA hufungua waliofungwa;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yeye huwapatia wanaoonewa haki zao, huwapa wenye njaa chakula. Mwenyezi-Mungu huwapa wafungwa uhuru,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yeye ndiye anayewaamulia waliokorofishwa, yeye ndiye anayewashibisha wenye njaa. Yeye Bwana ndiye anayewafungua waliofungwa,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Huwafanyia hukumu walioonewa, Huwapa wenye njaa chakula; BWANA hufungua waliofungwa;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yeye anawapatia wanaoonewa haki yao, anawapa wenye njaa chakula. Yawe anawapa wafungwa uhuru,