Psalms 146:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
huwafungua macho vipofu. Mwenyezi-Mungu huwainua waliokandamizwa; huwapenda watu walio waadilifu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu huwafumbua vipofu macho, Mwenyezi Mungu huwainua waliolemewa na mizigo yao, Mwenyezi Mungu huwapenda wenye haki.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana huwafumbua macho waliopofuka; Bwana huwainua walioinama; Bwana huwapenda wenye haki;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
huwafungua macho vipofu. Mwenyezi-Mungu huwainua waliokandamizwa; huwapenda watu walio waadilifu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA huwafumbua vipofu macho, BWANA huwainua waliolemewa na mizigo yao, BWANA huwapenda wenye haki.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana huwafumbua vipofu macho, bwana huwainua waliolemewa na mizigo yao, bwana huwapenda wenye haki.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA huwafumbua macho waliopofuka; BWANA huwainua walioinama; BWANA huwapenda wenye haki;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
huwafungua macho vipofu. Mwenyezi-Mungu huwainua waliokandamizwa; huwapenda watu walio waadilifu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
yeye Bwana ndiye anayefumbua macho ya vipofu, yeye Bwana ndiye anayewainua walioinamishwa, yeye Bwana ndiye anayewapenda waongofu,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA huwafumbua macho waliopofuka; BWANA huwainua walioinama; BWANA huwapenda wenye haki;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
anawafungua vipofu macho. Yawe anawainua waliogandamizwa; anawapenda watu wa haki.