Psalms 146:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu huwalinda wageni, huwategemeza wajane na yatima; lakini huipotosha njia ya waovu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu huwalinda wageni na kuwategemeza yatima na wajane, lakini hupinga njia za waovu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana huwahifadhi wageni; Huwategemeza yatima na mjane; Bali njia ya wasio haki huipotosha.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu huwalinda wageni, huwategemeza wajane na yatima; lakini huipotosha njia ya waovu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA huwalinda wageni na kuwategemeza yatima na wajane, lakini hupinga njia za waovu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana huwalinda wageni na kuwategemeza yatima na wajane, lakini hupinga njia za waovu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA huwahifadhi wageni; Huwategemeza yatima na mjane; Bali njia ya wasio haki huiharibu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu huwalinda wageni, huwategemeza wajane na yatima; lakini huipotosha njia ya waovu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
yeye Bwana ndiye anayewaangalia nao wageni, nao waliofiwa na wazazi, hata wajane huwaegemeza, lakini njia yao wasiomcha huipoteza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA huwahifadhi wageni; Huwategemeza yatima na mjane; Bali njia ya wasio haki huipotosha.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe anawalinda wageni, anawasaidia wajane na wayatima; lakini anaharibu mipango ya waovu.