Psalms 147:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yeye hataki nguvu za farasi, wala hapendezwi na ushujaa wa askari;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Furaha yake haipo katika nguvu za farasi, wala furaha yake kwenye miguu ya shujaa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hapendezwi na nguvu za farasi, Wala hairidhii miguu ya mtu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yeye hataki nguvu za farasi, wala hapendezwi na ushujaa wa askari;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Furaha yake haipo katika nguvu za farasi, wala furaha yake kwenye miguu ya mwanadamu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Furaha yake haipo katika nguvu za farasi, wala furaha yake kwenye miguu ya mwanadamu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hapendezwi na nguvu za farasi, Wala hairidhii miguu ya mkimbiaji.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yeye hataki nguvu za farasi, wala hapendezwi na ushujaa wa askari;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nguvu kubwa za farasi hazifurahii, wala hapendezwi na miguu ya mtu;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hapendezwi na nguvu za farasi, Wala hairidhii miguu ya mtu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yeye hafurahii nguvu za farasi, wala hapendezwi na ushujaa wa waaskari;