Psalms 147:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
lakini hupendezwa na watu wamchao, watu wanaotegemea fadhili zake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu hupendezwa na wale wamchao, wale wanaoweka tumaini lao katika upendo wake usiokoma.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana huwaridhia wao wamchao, Na kuzitarajia fadhili zake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
lakini hupendezwa na watu wamchao, watu wanaotegemea fadhili zake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA hupendezwa na wale wamchao, wale wanaoweka tumaini lao katika upendo wake usiokoma.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana hupendezwa na wale wamchao, wale wanaoweka tumaini lao katika upendo wake usiokoma.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA huwaridhia wao wamchao, Na kuzitarajia fadhili zake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
lakini hupendezwa na watu wamchao, watu wanaotegemea fadhili zake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana hupendezwa nao wamwogopao, nao wanaoungojea upole wake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA huwaridhia wao wamchao, Na kuzitarajia fadhili zake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
lakini anapendezwa na watu wanaomuheshimu, ndio wanaotegemea wema wake.