Psalms 147:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maana yeye huimarisha milango yako, huwabariki watu waliomo ndani yako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kwa maana huimarisha makomeo ya malango yako na huwabariki watu wako walio ndani yako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana ameyakaza mapingo ya malango yako, Amewabariki wanao ndani yako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maana yeye huimarisha milango yako, huwabariki watu waliomo ndani yako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kwa maana huimarisha makomeo ya malango yako na huwabariki watu wako walio ndani yako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kwa maana huimarisha makomeo ya malango yako na huwabariki watu wako walio ndani yako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana amevikaza vipingo vya malango yako, Amewabariki wanao ndani yako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maana yeye huimarisha milango yako, huwabariki watu waliomo ndani yako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani makomeo ya malango yako anayatia nguvu, anawabariki watoto, ulio nao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana ameyakaza mapingo ya malango yako, Amewabariki wanao ndani yako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Maana yeye alikaza vifungio vya milango ya kuta zako, anawabariki watu wanaokuwa ndani yako.