Psalms 147:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Huweka amani mipakani mwako; hukushibisha kwa ngano safi kabisa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Huwapa amani mipakani mwenu na kukushibisha kwa ngano safi kabisa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndiye afanyaye amani mipakani mwako, Akushibishaye kwa unono wa ngano.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Huweka amani mipakani mwako; hukushibisha kwa ngano safi kabisa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Huwapa amani mipakani mwenu na kukushibisha kwa ngano safi kabisa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Huwapa amani mipakani mwenu na kukushibisha kwa ngano safi kabisa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndiye aletaye amani mipakani mwako, Hukushibisha kwa ngano safi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Huweka amani mipakani mwako; hukushibisha kwa ngano safi kabisa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Utengemano ndio, anaoipatia mipaka yako, anakushibisha ngano zilizo nzuri kuliko nyingine.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndiye afanyaye amani mipakani mwako, Akushibishaye kwa unono wa ngano.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Analeta amani katika eneo lako; anakushibisha kwa ngano safi kabisa.