Psalms 147:15 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yeye hupeleka amri yake duniani, na neno lake hufikia lengo lake haraka.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hutuma amri yake duniani, neno lake hukimbia kasi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Huipeleka amri yake juu ya nchi, Neno lake lapiga mbio sana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yeye hupeleka amri yake duniani, na neno lake hufikia lengo lake haraka.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hutuma amri yake duniani, neno lake hukimbia kasi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hutuma amri yake duniani, neno lake hukimbia kasi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Huipeleka amri yake juu ya nchi, Neno lake lapiga mbio sana.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yeye hupeleka amri yake duniani, na neno lake hufikia lengo lake haraka.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hutuma amri yake kufika katika nchi, maneno yake huendelea upesi sana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Huipeleka amri yake juu ya nchi, Neno lake lapiga mbio sana.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yeye anatuma amri yake katika dunia, na neno lake linafikia shabaha yake kwa haraka.