Psalms 147:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hutandaza theluji kama pamba, hutawanya umande kama majivu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Anatandaza theluji kama sufu na kutawanya umande kama majivu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndiye atoaye theluji kama sufu, Huimwaga barafu yake kama majivu,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hutandaza theluji kama pamba, hutawanya umande kama majivu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Anatandaza theluji kama sufu na kutawanya umande kama majivu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Anatandaza theluji kama sufu na kutawanya umande kama majivu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndiye atoaye theluji kama sufu, Huimwaga barafu yake kama majivu,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hutandaza theluji kama pamba, hutawanya umande kama majivu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hunyunyiza manyunyu ya theluji, yaking'aa kama pamba, ni wingu la baridi liyamwagalo, yamwagike kama majivu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndiye atoaye theluji kama sufu, Huimwaga barafu yake kama majivu,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ananyesha teluji inayoangaa kama pamba, anasambaza umande kama majivu.