Psalms 147:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Huleta mvua ya mawe kama kokoto na kwa ubaridi wake maji huganda.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Huvurumisha mvua yake ya mawe kama changarawe. Ni nani awezaye kustahimili ukali wa baridi yake?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hutupa mvua ya mawe kama makombo, Mbele ya baridi yake ni nani awezaye kusimama?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Huleta mvua ya mawe kama kokoto na kwa ubaridi wake maji huganda.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Huvurumisha mvua yake ya mawe kama changarawe. Ni nani awezaye kustahimili ukali wa baridi yake?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Huvurumisha mvua yake ya mawe kama changarawe. Ni nani awezaye kustahimili ukali wa baridi yake?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hutupa mvua ya mawe kama makombo, Mbele ya baridi yake ni nani awezaye kusimama?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Huleta mvua ya mawe kama kokoto na kwa ubaridi wake maji huganda.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mawe ya mvua huyatupa, kama ni kokotokokoto, yuko nani atakayeweza kusimama kwenye baridi hiyo?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hutupa mvua ya mawe kama makombo, Mbele ya baridi yake ni nani awezaye kusimama?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Anaangusha mvua ya mawe kama makokoto, hakuna anayeweza kuvumilia baridi anayoituma.