Psalms 147:18 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha hutoa amri, maji hayo yakayeyuka; huvumisha upepo wake, nayo yakatiririka.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hutuma neno lake na kuviyeyusha, huvumisha upepo wake, nayo maji hutiririka.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hulituma neno lake na kuviyeyusha, Huuvumisha upepo wake, maji yakatiririka.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha hutoa amri, maji hayo yakayeyuka; huvumisha upepo wake, nayo yakatiririka.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hutuma neno lake na kuviyeyusha, huvumisha upepo wake, maji hutiririka.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hutuma neno lake na kuviyeyusha, huvumisha upepo wake, nayo maji hutiririka.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hulituma neno lake na kuviyeyusha, Huuvumisha upepo wake, maji yakatiririka.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha hutoa amri, maji hayo yakayeyuka; huvumisha upepo wake, nayo yakatiririka.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini akisema neno tu, yanayeyuka, akituma upepo wake, yanageuka kuwa maji, yajiendee.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hulituma neno lake na kuviyeyusha, Huuvumisha upepo wake, maji yakatiririka.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Anapoamuru, hayo mawe yanayeyuka; anapovumisha upepo, maji yanatiririka.