Psalms 147:19 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Humjulisha Yakobo ujumbe wake, na Israeli masharti na maagizo yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Amemfunulia Yakobo neno lake, sheria zake na maagizo yake kwa Israeli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Humhubiri Yakobo neno lake, Na Israeli amri zake na hukumu zake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Humjulisha Yakobo ujumbe wake, na Israeli masharti na maagizo yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Amemfunulia Yakobo neno lake, sheria zake na maagizo yake kwa Israeli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Amemfunulia Yakobo neno lake, sheria zake na maagizo yake kwa Israeli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hulitangaza neno lake kwa Yakobo, Na amri zake na hukumu zake kwa Israeli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Humjulisha Yakobo ujumbe wake, na Israeli masharti na maagizo yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yeye ndiye anayemtangazia Yakobo maneno yake, nayo maongozi yake na maamuzi yake huwatangazia Waisiraeli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Humhubiri Yakobo neno lake, Na Israeli amri zake na hukumu zake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Anatoa ujumbe wake kwa wazao wa Yakobo, nayo masharti na maagizo yake kwa Waisraeli.