Psalms 147:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu anajenga tena mji wa Yerusalemu; anawarudisha Waisraeli waliokuwa uhamishoni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu hujenga Yerusalemu, huwakusanya Israeli walio uhamishoni.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana ndiye aijengaye Yerusalemu, Huwakusanya waliotawanyika wa Israeli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu anajenga tena mji wa Yerusalemu; anawarudisha Waisraeli waliokuwa uhamishoni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA hujenga Yerusalemu, huwakusanya Israeli walio uhamishoni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana hujenga Yerusalemu, huwakusanya Israeli walio uhamishoni.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA ndiye aijengaye Yerusalemu, Huwakusanya waliotawanyika wa Israeli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu anajenga tena mji wa Yerusalemu; anawarudisha Waisraeli waliokuwa uhamishoni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Anayeujenga Yerusalemu ndiye Bwana, nao Waisiraeli waliotawanyika anawakusanya.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA ndiye aijengaye Yerusalemu, Huwakusanya waliotawanyika wa Israeli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe anajenga tena Yerusalema; anawarudisha Waisraeli waliopelekwa katika uhamisho.